MSONDO HUWA LEADERS CLUB KILA IJUMAA SAA 12 HADI SAA 4 USIKU

Bendi hii kongwe hujidhihirisha ukongwe wake unapoikuta pale Leaders ikikupigia nyimbo za miaka 70 zikienda sambasamba na nyimbo zao za miaka ya karibuni. Usikose

















Comments