AKUDO NA MAPACHA WATATU NAO VALENTINE

Jana ilikuwa siku ya Valentine, kumbi mbalimbali zilikuwa na maraha ya aina mbalimbali niliweza kuonja raha hizo. Letasi Pub pale Victoria Mapacha Watatu na ndugu zao Akudo Band waliliporomosha rumba usiku kucha,
AKUDO HAOOOOO









MAPACHA WATATU







Comments