Monday, January 6, 2014

BEHIND THE SCENE YA FILAMU KUTAKAPOKUCHA

FILAMU hii ambayo script yake imeandikwa na msanii Irene Sanga, inachambua maisha katika kijiji ambacho Mzee Nongwa (John Kitime) ndie mwenyekiti. Mzee huyu ambaye amebobea kwenye udikteta, anawadhalilisha sana wanakijiji kutokana na mali yake ambayo hupewa na mwanae  jambazi ambaye anaishi mjini. Upinzani mkali unaletwa na Mzee Ngatogwa (Mzee Magali), ambaye pia ndie msomi hapo kijijini. Hili linaleta upinzani ugomvi mapigano kati ya pande hizi mbili za hawa wazee......matokeo....................pata picha za nyuma ya pazia wakati wa utengenezaji wa baadhi ya scenes....
No comments:

IVORY BAND YAPANIA KUPAA KATIKA ANGA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA

Ijumaa hii na kila Ijumaa ni siku ya raha na starehe kwa wakazi wa Tabata na vitongoji vyake, maana mara tu baada ya jua kuzama kiota maaru...