Wednesday, June 12, 2013

ZILIPENDWA PIC OF THE WEEK-JKT KIMBUNGA STERIO BAND

JKT KIMBUNGA STERIO BAND.......Bendi hii mali ya Jeshi la KUjenga Taifa ilianzishwa na wanamuziki wakiwemo waliotoka NUTA Jazz band kama vile Mzee Capt John Simon, ilikuwepo bado ipo. Kwa wale wa zamani wanakumbuka hits zao zenye maneno kama vile,' Chunga nguo zako kaka na dada zisipeperushwe na upepo mkali' au "Ewe dada Sakina una nini sasa? Naona watangatanga na kutafuta pesa"

No comments:

Mshindi wa Singeli Michano ya EFM Mwanza apatikana

> Watanzania jana waliadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambara...