SAIDA VERY |
Baada ya taarifa kuzushwa kuwa Saida Karoli amefariki katika
ajali ya meli habari za uhakika ni kuwa Saida Karoli wala hayuko mahala popote
jirani na Ziwa Victoria. Baada ya
kuweko Dar es Salaam wiki iliyopita, Saida na kundi lake walikodishwa na
kuelekea Makongorosi Chunya mahala aliko mpaka asubuhi hii. Saida Karoli
anasema hana mpango wowote wa kufa KARIBUNI.
MUNGU AMUONGEZEE SIKU NYINGI ZENYE FARAJA KATIKA MAISHA YAKE
Comments