MWILI WA MANGWAIR WAAGWA NA WATANZANIA WALIOKO SOUTH AFRICA

Taarifa iliyowekwa kwenye  website ya Clouds FM inaeleza kuwa mwili wa marehemu Mangwair umeagwa jioni hii huko SA, na Watanzania kadhaa walioko huko. Kwa maelezo na picha za shughuli hiyo bonyeza hapa

Comments