KHADIJA KOPA AFIWA NA MUMEWE

Malkia wa mipasho Bi Khadija Kopa leo amepata pigo jingine katika maisha kwa kumpoteza mumewe Jaffary Ally, ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Mara kwa mara katika nyimbo nyingi na maonyesho live katika kuonyesha mapenzi kwa mumewe, Bi Khadija alizoea kumtaja na kumsifu mumewe akimuita Baby.
 Tunampa pole Bi Khadija na kumuomba Mola amlaze Jaffary Ally pema peponi

Comments