Wednesday, May 29, 2013

WASANII WA BONGOFLAVA WAAHIRISHA MAONYESHO YAO KUPISHA MSIBA WA MWENZAO

Wasanii kadhaa wa Bongoflava wameahirisha maonyesho yao ili kupisha msiba wa mwenzao Albert Mangwear.
 Mwana FA, Kala Pina, TID, Izzo Bizzness na Lady JD ni kati ya wasanii walioahirisha maonyesho yao Dar es Salaam na nje ya Dar kupisha msiba wa mwenzao.

No comments:

JUDITH KIULA MUIMBAJI MPYA WA GOSPEL

Judith Kiula ni mwenyeji wa Singida aliyezaliwa na kukulia Morogoro,  alizaliwa Kizuka hospital, na akaanza shule Kizuka primary school, ...