Goethe Institut yawakaribisha wasanii 24.05.2013, kuja kuonyesha vipaji vyao katika OPEN STAGE NIGHT . Kila mtu anakaribishwa kuonyesha kipaji chake chochote. Ili kuijisajiri andika barua pepe au piga simu: intern@daressalaam.goethe.org, Tel.:
075 375 152 ueleze unachotaka kufanya na msaada wa vifaa utakavyohitaji, wanamuziki wanaweza kuja na vyombo vyao kiingilio bureeeeee
GOETHE INSTITUT IKO UPANGA
Comments