-->
Mrisho Mpoto pia alitoa mawaidha yake......
Weekend hii ilikuwa imejaa shamra shamra chungu nzima katika
jiji la Dodoma. wa Clouds FM kwa
wasikilizaji wake. Msimu huu umepewa jina la Made in Tanzania na kauli mbiu ya Twenzetu
Jambo kubwa lililotikisa jiji hili ni shughuli za kuzindua msimu
mpya wa
Uzinduzi huo ulisindikizwa na show kubwa ya muziki, semina
za kufungua na kuelekeza macho katika fursa mbalimbali zinazowezekana kufanyika
kwa vijana wa Kitanzania na tukio moja kubwa la maandamano makubwa ya kupinga
uharamia wa kazi za wasanii. Mgeni rasmi katika yote ha alikuwa Waziri Mkuu Mh
Mizengo Pinda.
Mrisho Mpoto pia alitoa mawaidha yake......
Comments