HAJI MOHAMED MKURUGENZI WA EAST AFRICAN MELODY AFARIKI LEO

Haji Mohamed, Mkurugenzi wa East African Melody Modern Taarab amefariki asubuhi ya leo katika hospitali ya Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi. Taarifa za mazishi zitatolewa kadri tutakavyokuwa tunazipata.
Mungu amlaze pema

Comments