Tuesday, March 12, 2013

WEWE NI MPENZI WA BARNABABOY? NJOO UELEWE MAMBO

R. Kikwete, Mboni Masimba,Barnaba na Lisa Jeansen baada ya kipindi cha The Mboni Show
Muimbaji mahiri na ninayependa sana uimbaji wake, Barnaba amefungua website yake ambayo wapenzi wake wanaweza kupata mengi katika website hiyo. Ikiwamo video, audio na maelezo mengi ya shughuli anazofanya Barnaba. 
Ingia http://www.barnababoy.com/ upate mambo

No comments:

VIJANA WA TANZANIA HUENDA WAPI KUPUMZISHA AKILI BAADA YA SAA ZA KAZI?

AWALI HAPA PALIKUWA NA JENGO LILILOITWA  NYUMBA YA SANAA WASANII WENGI WALIKUWA WAKIFANYA KAZI ZAO HAPA, KWA SASA KILICHOBAKI JINA WASANII...