WEMA SEPETU, KAZI MPYA MUONEKANO MPYA


Msanii maarufu Wema Sepetu ameongeza sifa nyingine kati ya sifa nyingi alizonazo kwa kuwa CEO wa kampuni yake Endless fame Films. Na katika msimu huu wa joto amekuja na muonekano mpya unaofaa sana kwa msimu huu  kwa kupunguza nywele zake

Comments