HUU NI UKURASA MMOJA WA MKATABA ALIOINGIA MWANAMUZIKI AMBAYE NAYE NI BLOGGER NA MPIGA KELELE MKUBWA KUWA KAMPUNI ZA SIMU ZINATUMIA KAZI ZAKE BILA MAKUBALIANO HEBU SOMA MKATABA WAKE, KISHA SOMA MAONI YANGU CHINI
-->
-->
I the undersigned,……………….(content partner) of P.O Box…….DSM,
TANZANIA and would like to bring to your notice that effective ………..2011 we
have signed up an exclusive distribution contract for ALL my musical work past
and future for the coming 10 years to…………Tanzania Limited for Digital
distribution worldwide, using Mobile Telephony.
As on date, no other individual or legal entity is authorized
to distribute my contents on Mobile Operator Networks and …..Limited Company is
the only legally authorized representative of all my content.
The distribution rights include ALL the Mobile Telephony
Bearers including but not limited to WAP/3G/Data/SMS/Internet download and any
other technology facilitating the mobile telephony subscribers to access and or
utilize the digital content of my musical work by way of Ringtones, Song Clips,
Voice Prompts/Clips Ring back tones, Video Clips and/or any other digital/media
distribution mechanism over the telecom networks.
We hereby authorize………Tanzania Limited to enter into
redistribution contact with any third party for sale/distribution of my musical
works using Mobile Telephony
…………………
……………………
************
************************
(artist) Country
Head………..Limited Company
Huu ndio aina ya mkataba wasanii wengi wa Tanzania wameingia
na kutoa haki za kazi zao kutumika. Mambo muhimu ni kama yafuatayo
1.
Exclusive distribution…….ina maana hata mwenye
kazi haruhusiwi tena kufanya distribution ya kazi yake
2.
ALL my musical work past and future for the
coming 10 years…yaani haki alizogawa ni kwa kazi zake zote zilizopita na
atakazozifanya kwa miaka 10 ijayo
3.
The distribution rights include ALL the Mobile
Telephony including but not limited to WAP/3G/Data/SMS/Internet download and
any other technology facilitating mobile telephony…..Haki hizo zinahusu
usambazaji kwa teknolijia zilizotajwa na nyingine zozote za aina yake
Comments
na wanalipwa kiasi gani ....kwa mktataba wa aina hii?