Saturday, March 30, 2013

MASHAUZI CLASSIC LEO WAZINDUA DVD YAO MPYA

Kwa mara nyingine tena Mashauzi Classic Taarab leo inazindua DVD yao yenye mkusanyiko wa nyimbo mpya. Chini ya uongozi wa Isha Mashauzi, Mkurya wa Kwanza kuimba Taarab, Jike la Simba, kundi hili leo litakuwa Mikocheni Resort Center (MRC), nyuma ya Shoppers Plaza, litazindua DVD yake iliyopewa jina la Siwasujudii Viwavi Jeshi. Na kuongeza kazi nyingine kati ya kazi nyingi ambazo kundi hili limefanya toka kuanzishwa kwake. 

                          KUKOSA NI KOSA

No comments:

IVORY BAND YAPANIA KUPAA KATIKA ANGA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA

Ijumaa hii na kila Ijumaa ni siku ya raha na starehe kwa wakazi wa Tabata na vitongoji vyake, maana mara tu baada ya jua kuzama kiota maaru...