Monday, March 25, 2013

Marijani Rajabu --Jabali la muziki

Tarehe 23 March 1995, ndio siku ambapo Jabali la Muziki Marijani Rajabu alifariki kutokana na matatizo ya moyo kuwa mkubwa. Siku za mwisho za maisha yake hazikuwa nzuri pamoja na kazi kubwa aliyoifanya katika historia ya muziki wa Tanzania. Siku za mwishoni alilazimika kufungua kajiduka akawa anauza kanda za nyimbo zake ili kujikimu. Mungu amlaze pema peponi.

No comments:

IVORY BAND YAPANIA KUPAA KATIKA ANGA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA

Ijumaa hii na kila Ijumaa ni siku ya raha na starehe kwa wakazi wa Tabata na vitongoji vyake, maana mara tu baada ya jua kuzama kiota maaru...