DIAMOND PLATNUMZ SUPERSTAR WA UKWELI HATA KAMA HUTAKI

Ukimpenda au usimpende bado Diamond Platnumz ni msanii mwenye mvuto na wapenzi wengi sana nchini. Kwa vyovyote vile historia ya ukweli ya muziki Tanzania, itamtaja daima kati ya wasanii wanaopendwa sana kwa kipindi hiki. Next step kisanii itakuwa kuwa kwenye jukwaa la kimataifa mara tu atakapopata artistic producer wa kujua kutumia sauti ya nyota huyu kugonga hodi katika lango la World Music. I wish him the best


Comments