Skip to main content
MSANII WA TMK WANAUME HALISI AFARIKI DUNIA
Msanii Baraka Sekela,mmoja wa wasanii wa awali kabisa wa kundi la TMK Wanaume Halisi, aliyejulikana zaidi kama BK, amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kutokana na matatizo la moyo. Mungu amlaze pema peponi Baraka Sekela
Comments