Timbulo amesema ni
kweli alihisiwa kuwa amebeba madawa ya kulevya kitu kilichowafanya
wanausalama kuomba kumkagua na kweli kumkuta na Pipi ambazo mara nyingi
zimekua ni mfumo wa kubebea madawa ya kulevya katika begi lake, lakini
katika maelezo ya Timbulo anasema hazikuwa dawa za kulevya kweli bali ni
mfano wa dawa ambazo alifanyia shooting katika movie yake ya hivi
karibuni na kusahau kuzitoa.
Kwa maelezo zaidi ingia HAPA
Kwa maelezo zaidi ingia HAPA
Comments