MADUKA YA VIPODOZI KITUO CHA MABASI MWENGE YAUNGUA

Maduka ya vipodozi na nguo katika kituo cha basi cha Mwenge yameungua baada ya kutokea hitilafu ya umeme katika mojawapo ya maduka. Kwa habari zaidi na picha zaidi ingia hapa http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/maduka-ya-vipodozi-mwenge-jijini-dar-yaungua-moto

Comments