Isha Mashauzi ni mmoja ya waimbaji wa Taarab maarufu hapa nchini, na kiongozi wa kikundi chake cha Taarab cha Mashauzi Classic Modern Taarab, jana tarehe 5 February ilikuwa siku yake ya kuzaliwa, alitumia jioni ya jana akiwa na wazazi wake, wanamuziki wa Mashauzi Classic, na marafiki zake kukusanyika na kufanya sherehe ya kumbukumbu ya siku hiyo. Sherehe ilifanyika katika ukumbi wa Mikocheni Resort ulioko nyuma ya Shoppers Plaza Mikocheni kwa vinywaji, chakula na keki nzuri iliyotengenezwa na rafiki yake.
BABA MZAZI WA ISHA MASHAUZI MZEE MAKONGO |
KAKA WA ISHA |
KEKI |
ISHA AKITAMBULISHA WAZAZI WAKE |
BIRTHDAY PEMBENI YA SWIMMING POOL |
Comments