VIJANA JAZZ WAELEKEA MTWARA

VIJANA Jazz Band , bendi inayomilikiwa na Umoja wa Vijana wa CCM, leo imesafiri toka Dar kwa treni kuelekea Kigoma kwa ajili ya sherehe za kumbukumbu ya kuzaliwa kwa CCM, zinazofanyika kitaifa Kigoma. bendi hiyo itapiga muziki siku ya Jumapili  3, 2013 siku ya kilele cha sherehe hizo na kurudi Dar Alhamisi ijayo.

Comments