MATAYARISHO YA FILAMU YA GOD'S KINGDOM

Unamkumbuka Pastor Myamba? Safari hii anakuja na filamu inaitwa God's Kingdom. Filamu hii ambayo imo katika hatua za mwisho za utayarishaji ni wazi itakuwa ya kufurahisha sana kwa wale walioipenda Pastor Myamba. Ikitoka nakushauri uipate, quality ya picha ni safi safi, director pia ameweza kuelezea kile kilichokuwa kichwani mwake. Jambo zuri zaidi katika hili ni kuwepo kwa wasanii wengi wapya waliopikwa katika Chuo cha Tanzania Film Training Center, chuo kinachoendeshwa na Pastor Myamba, hivyo kuwawezesha wanachuo kufanya kile walichojifunza darasani. Kwa wale wanaotaka kujiunga na chuo ni rahisi unapiga simu 0712723600 au 0766335014.
                                                                                             Mzee Jengua

Scene moja ya machungu sana katika God's Kingdom

Kwaya ya kanisa

Patcho Mwamba, Meya......wamo

wanachuo waigizaji wakingojea kurekodi scene  zao


Baada ya Pastor kuwapa uzima

Comments