Katika kile kiota kipya cha burudani pale Magomeni, kwenye
kituo cha Magomeni Hospitali, chenye jina Garden breeze Bar leo nimewakuta
Mashauzi Classic Modern Taarab, watu wengi waliojaa katika onyesho hilo ambalo
halina kiingilio, walionekana haswa wanafurahia burudani iliyokuwa ikitolewa na
kundi hilo. Picha za matukio hapa chini. Ijumaa kuanzaia saa kumi na mbili watakuwepo
5 Star Modern Taarb, na Jumapili, Extra Bongo wako hapo muda kama huohuo.
Comments