Lady In Red upgraded matayarisho in full swing

Lady in Red 2013 itakuwa ni ya 9 toka fashion show hiyo ilipoanza. Mwaka huu show imeamua kupanda daraja kwa kuhusisha wabunifu wengi zaidi na kuboresha show hiyo. Ili kuwezesha hilo matayarisho yamekwisha anaza na Jumapili waandaaji, designers na models walikutana katika kiota cha maraha Nyumbani Lounge na kuwa na mazunguzo mbalimbali kuhusu matayarisho ya siku hiyo. Shughuli itakuwa SERENA HOTEL, Jumamosi,9 February 2013 kuanzia saa 2:00 Usiku , kiingilio kikiwa 20,000/- kwa mtu mmoja na 50,000/- kwa mtu mmoja VIP. 







Comments