Tamasha la Tusker Carnival 2012 lafana, Kofi Olomide atumbuiza

Bendi kadhaa zimeshiriki na kuonyesha umahiri katika Tamasha la Tusker Carnival 2012. Tamasha hilo ambalo pia lilikuwa na mwanamuziki Kofi Olomide na kundi lake, limeweza kutoa burudani kubwa kwa wakazi wa Dar es Salaam,Picha zifuatazo na video kwa hisani ya blog ya Jiachie
Skylight Band


Joseph Kusaga akiwa na Kofi Olomide

Viongozi wa Mapacha Watatu

Wacheza show wa Kofi

Diamond Sound

Comments