SUPERSHINE MODERN TAARAB- WANA KATA KIU

Kundi la Supershine Mordern Taarab (Wana Kata Kiu), lilianza April 2002,kutokana na wanamuziki waliooka Egyptian Musical Club. Makao yake makuu toka awali mpaka leo yako Magomeni Mtaa wa Dosi. kanzia wakati huo kikundi kimekuwa kikifanya maonyesho katika Maharusi, Show mbalimbali za kulipwa na hata Matamasha mbalimbali.Mpaka sasa kundi hili limekwisha achia album 5,
i. Ubabane na nani?
ii. Kiokote
iii. Hunishtui
iv. Mola Kaninyooshea
v. Professional Love
Ili kuwapata waweza kumpigia simu Katibu wa kundi-0715578755
Nilikaribishwa katika mazoezi ya kundi hili hapa ni picha za wanamuziki wakiwa katika mazoezi makali ya kujitayarisha kwa mwaka 2013
MOHAMED MKOPI

SHAABAN MADOBE

AMURI AMURI

ABDALAAH HAJI (BWIGABWIGA) mpiga solo

Kushoto HADIJA MOHAMED

ZAINAB MTEZA, NURU MOSHI,HAWA OMARY, SAUM MOHAMEDHASSAN ZUMO


ALLY MIKIDADI aka HIGHLIGHT
Comments