MSIBA ........FM ACADEMIA LUIGI B52 AFARIKI DUNIA

Mpiga solo maarufu wa FM ACADEMIA, Luigi B52 amefariki dunia. Luigi ambaye ndie pia alipiga solo katika album maarufu ya Chambua kama Karanga ya Saida Karoli amefariki dunia mchana huu. Mipango ya msiba inafanywa katika kambi ya FM Academia pale karibu na Bar ya Aunty Ezekiel.

Comments