UNATAKA KUWA MUIMBAJI? JIFUNZE KUSHIKA MAIK HAPA

Mara nyingi huwa tunazipata picha za wasanii wetu waimbaji wakiwa wameshika microphone wanaimba au kuchana mistari. Kutokana na wao kuona picha za marapa wengine jinsi wanavyoshika maik nao huiga ushikaji huo. Bahati mbaya sana mara nyingi ushikaji wa maik huwa si sahihi hivyo sauti ambayo wasilikizaji wanaipata huwa mbovu, na si ile ambayo msanii mwenyewe unayoisikia kwenye CD au DVD yake au  aliyoitayarisha wakati wa sound check. Hapa kuna video fupi kwa ajili ya wasanii wanaotaka kuwa waimbaji na namna ya kutumia microphone





Comments