Skip to main content
SWAHILI HIPHOP SUMMIT 2012
Swahili hiphop summit is in progress at the Alliance Francaise, Upanga Dar es Salaam. Wasanii kadhaa nchini waliomo katika sanaa ya Hiphop wamo katika kikao chao ambacho pamoja na mengine kinaongelea matatizo , mafanikio na muelekeo wa Hiphop nchini
Comments