Mwanamuziki Mariam Khamis Kuzikwa leo

Mariam Khamis mwimbaji wa Tanzania One Theatre Taarab anatarajiwa kuzikwa leo Jumatano 14 Novemba 2012 Magomeni Makuti Dar es Salaam, nyumbani kwa baba yake mkubwa, Mtaa wa Ndovu Bar.
Mazishi hayo yanategemewa kuhudhuriwa na wasanii wenzie wa TOT ambao walikuwa Dodoma kwenye shughuli za Mkutano Mkuu wa CCM.
Mungu Amlaze Pema PeponiAmin

Comments