MTIMA WANGU- AMINI ft LINNAH

AMINI

LINNAH
Katika siku ya fainali ya Epic Bongo Star Search wasanii maarufu wa kizazi kipya kutoka THT, Amini na Linnah walipanda jukwaani na kuporomosha kibao chao ambacho waliahidi kuwa kingetoka karibuni. Kibao hicho MTIMA WANGU kilichotayarishwa na Producer C9 hiki hapa. Blog hii itaanza kutoa nakala ya nyimbo kadhaa za wasanii kadri itakavyopata ili kutayarisha majumlisho yatakayofanyika kila baada ya muda. Hakuna ubishi vijana hawa wana sauti nzuri sana.

Comments