Msanii Mlopelo wa Kaole afariki dunia leo

Msanii wa siku nyingi wa Kaole Mlopelo afariki dunia baada kuugua siku nyingi. Hapa ni katika video yake akiongea na mtangazaji maarufu Zamaradi Mketema katika kipindi chake cha Take One

Comments