Alex Kajumulo , The Bushman has come with a recording feauturing himself, Mbilia Bel and the voice of the late Cool James Dandu.
Alex Kajumulo, Bushman au pengine huitwa Babu Kaju, amekuja na kibao ambacho amemshirikisha mwanadada mwenye sauti tamu, Mbilia Bel na pia kuingiza sauti ya marehemu 'Kool' James Dandu. KWA MAMBO ZAIDI YA KAJUMULO INGIA HAPA
Kajumulo na Mbilia na Dandu |
Comments