Bridget Alfred Redds Miss Tanzania 2012

HATIMAE YALE MASHINDANO MAKUBWA YA UREMBO TANZANIA, REDDS MISS TANZANIA 2012 YAMEFIKIA TAMATI . NA NI BRIDGET ALFRED BINTI MREMBO TOKA SINZA ALIEONDOKA NA ZAWADI YA KWANZA YA GARI AINA YA NOAH NA SHILINGI MILIONI NANE. HONGERA BRIDGET
Comments

fernandes said…
Zawadi noah,si upuuzi huu?! Crown hapo iko wapi? Au haina umuhimu?
Ni kweli waandazi wana deni la kujibu, shughuli nzima ilikuwa ya gharama kubwa kwanini gharama ya zawadi iwe ndogo?