TANZIA
FAMILIA YA MAREHEMU
MCHUNGAJI MWAKIPUNDA WA NGAMANGA IPINDA KYELA WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MZEE
NSUBISI SAMUEL MWAKIPUNDA (MKURUGENZI WA ZAMANI WA IDARA YA MAELEZO) KILICHOTOKEA
SIKU YA JUMATANO TAREHE 24/10/2012.
MIPANGO YA
MAZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU PUGU KINYEMWEZI DAR ES SALAAM.
HABARI ZIWAFIKIE
NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO.
KWA MAWASILIANO
ZAIDI
+255655994499
“BWANA AMETOA BWANA, AMETWAA JINA LA BWANA
LIHIMIDIWE”
AMEN
Comments