Mpiga Bezi Freddy Kanuti afariki dunia

Muziki wa dansi umepata pigo jingine baada ya kijana mdogo mpiga bezi anaetoka katika familia ya wanamuziki kufariki dunia leo hii. Freddy Kanuti amefariki leo na maiti yake kupelekwa katika hospitali ya Amana Ilala kwa kuhifadhiwa kungojea taratibu za mazishi.

Comments