MAONYESHO YA KWANZA YA KATUNI KATIKA UKUMBI WA ALLIANCE FRANCE

Msanii Simon Regis, ambae anae chora katuni katika Magazeti ya Mtanzania na The African leo amezindua maonyesho ya kazi katika ukumbi ulioko katika maeneo ya Alliance France- Kituo cha Utamaduni wa Kifaransa. Maonyesho haya yataendelea kwa wiki moja. Hii ni mara ya kwanza kwa kituo hicho kuwa na maonyesho ya katuni
Simon Regis
Mimi na Super Star Regis


Wadau wakimsikiliza Regis akitoa maelezo kuhusu maonyesho
Comments