Lady Hanifa |
Lady Hanifa na Suba Mkole |
Mzee Manyema (kulia) |
Katika pita pita yangu nimemkuta mtangazaji maarufu wa ITV Lady Hanifa akiwa kazini akiwahoji wanamuziki kutoka vipindi viwili mbalimbali. Alianza kwa kufanya mahojiano na mwanamuziki muimbaji wa siku nyingi Mzee Manyema (Sokolokwinyo) na hatimae akawahoji wanamuziki wa kizazi cha sasa wanaojiita Suba Mkole.
Comments