JOKATE AZINDUA NYWELE ZA LEBO YA KIDOTI




Mrembo wa ukweli Jokate Mwegelo leo kwa kupitia lebo yake ya KIDOTI, bidhaa yake mpya ya nywele imezinduliwa. Baada ya kupata mtaji wa kiasi cha shilingi milioni 40 ameweza kufanikisha ndoto yake ya muda mrefu ya kuanza kutengenza bidhaa hiyo ya nywele ambayo itatengenezwa hapahapa nchini. Sehemu ya faida ya biashara hii itatumika kusaidia wasichana wa Ruvuma.
(Picha kwa hisani ya Othman Michuzi)

Comments