H.Baba: Diamond katuma watu waibe flash yenye wimbo alioiba idea yangu

Baada ya Diamond kuto hadharani wimbo wake mpya kumekuweko a utat mkubwa, kati ya utata ni H Baba kudai kaibiwa wimbo huo. Ili kupata habari zaidi soma habari nzima kwenye blog ya Bongo 5, lakini hadithi haiishii hapa kwani kabla ya hapo kulikuwa na hadithi hii,Wakizungumza na kituo cha Clouds Fm kupitia segment ya 255 ya kipindi cha XXl Pasha anasema alipigiwa simu na mshikaji wake akiambiwa kuhusu kufanana kwa nyimbo hizo na kwamba yeye pasha anasema alirekodi mwanzoni mwa mwaka huu na kwamba beat iliyotumika inafanana kwa asilimia 100 na nyimbo yake, wakati H Baba yeye anasema jina la wimbo huo ni kama jina la wimbo wake. Soma kwa kirefu habari hii Dj Fetty....Hadithi inaendelea........................

Comments