Msanii wa filamu nchini, maarufu kwa jina la Aunt Ezekiel amefunga ndoa Alhamisi Oktoba 18 2012 maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, katika iliyohudhuriwa na ndugu,
jamaa na rafiki zake.
Aunt alifunga ndoa ya Kiislam na Sunday Demonte anayefanya shughuli zake za kibiashara huko Dubai, japo Sunday mwenyewe hakuwepo bali aliwakilishwa na ndugu. Sherehe kubwa inategemewa kufanyika baadae huko Dubai.

Comments