Friday, September 14, 2012

TANZANIA LIVE MUSIC FESTIVAL 28-29 SEPTEMBER 2012

TAMASHA KUBWA LA MUZIKI LA SIKU MBILI LITAFANYIKA KATIMA VIWANJA VYA LEADERS DAR ES SALAAM KWA SIKU MBILI MFULULIZO  TAREHE 28 NA 29 SEPTEMBER 2012. TAMASHA HILO LENYE NIA YA KUHAMASISHA UPENZI WA MUZIKI WENYE KUPIGWA NA VYOMBO, NA PIA KUANZISHA TAMASHA LA KILA WAKA LA MUZIKI HUO LITAZIKUSANYA BENDI NYINGI ZA DAR ES SALAAM KATIKA TAMASHA HILO AMBALO LINA LENGO YA KUWA TAMASHA LA KUDUMU, NA KUWA KILA MWAKA.

No comments:

Mshindi wa Singeli Michano ya EFM Mwanza apatikana

> Watanzania jana waliadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambara...