MwanaFA MAZOEZINI NA NJENJE

MwanaFA yuko bizy anafanya mazoezi ya nyimbo zake akisindikizwa na wanamuziki wa bendi ya Kilimanjaro almaarufu WanaNjenje, mchanganyiko huu hutokea nadra lakini si mara ya kwanza MwanaFA kuwa jukwaa moja na Njenje hili lilishafanyika miaka michache iliyopita katika onyesho la wasanii toka Tanga.


Comments