Tuesday, September 4, 2012

Mashujaa Musica wapata ajali-picha hizi hapa

Alfajiri ya Jumapili tarehe 2/9/2012 haikuwa nzuri kwa Bendi ya Mashujaa Musica, kwani gari lililokuwa likiwarudisha nyumbani lilipata ajali na kugonga ukuta wa Msasani Club na baadhi ya wasanii kuumia. hata hivyo bendi imeendelea kufanya maonesho kama kawaida.Picha za mkasa mzima hizi hapa

No comments:

Mshindi wa Singeli Michano ya EFM Mwanza apatikana

> Watanzania jana waliadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambara...