Bendi ya
Ngoma Africa band aka FFU,
yenye
maskani yake kule Ujerumani, inatarajiwa kutumbuiza katika maonyesho makubwa ya
biashara ya kiafrika "AFRIKA-MESSE" Bremen,yatakayofanyika
mjini
Bremen,Ujerumani. Ratiba katika maonyesho mawili yatakayofanyika wakati huo
itakuwa kama ifuatavyo, Jumatano 12.09.2012 bendi itakua mjini Bremerhaven, na
Jumamosi ya
15.9.2012 Kikosi kazi hiko kitapeleka nguvu zote katika eneo la maonyesho
Comments