Wiki
chache zilizopita picha ya Chinedu, ilisambaa katika mitandao mbalimbali
ikimuonyesha yuko na mtoto ambaye alitambulishwa kama mtoto wake. Lakini msanii
huyu amekuja juu kuhusu picha hii na taarifa zilizoambatana nayo.
Ametoa taarifa hii,’ Kila mtu
anajua mke wangu ame graduate kutoka shule ya mitindo wiki chache zilizopita,
je mlimuona ana dalili za mimba?. Ndio, picha hiyo ni yangu, ilipigwa 2008,
nilikuwa nimemshika mtoto wa mmoja wa mashabiki wangu, kwa kweli sielewi nia ya
aliyeanza kuisambaza picha hiyo kwa maelezo kuwa huyo ni mwanangu’
Comments