BREAKING NEEWS-MASHUJAA BAND WAPATA AJALI

Wanamuziki  wa Mashujaa Band wamepata ajali alfajiri leo maeneo ya Msasani Club wakitokea kazini,basi lao liligonga ukuta wa club hiyo. Hakuna habari za vifo lakini wanamuziki walioumia walikimbizwa hospitalini...Habari zaidi baadae

Comments