A NEW BAND IN TOWN -SKYLIGHT BAND











Kuna bendi mpya mjini inaitwa SKYLIGHT BAND, bendi ya vijana ambayo jana nilipata nafasi ya kuonja muziki wao. Nilikuwa mtu wa mwisho kuondoka ukumbini jambo ambalo ni nadra kutokea kwangu, naweza kufanya hivyo kwa bendi ambayo imenifurahisha mpaka ninalazimika kukaa hadi mwisho. Watchout for this band wakikaa mwaka mmoja na seriousness waliyonayo sasa ni wazi Tanzania tutakuwa na bendi nyingine ambayo itaweza kusikika nje ya mipaka ya nchi yetu

Comments