INAFRIKA WATUA TENA DAR- watakuwa Carnivore kila Ijumaa Posted by jfk on August 31, 2012 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Bendi ya InAfrika iko tena Dar baada ya kurudi kutoka kwenye Tamasha la muziki Scotland. Na kama kawa kuanzia Ijumaa hii watakuwa CARNIVORE pale jirani na daraja la Kawe kabla hujafika JKT Makao Makuu Comments
Comments